Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,901
- 2,566
Mi niseme tu kwa issue za bongo ilitakiwa alivokuja cocha mzungu na Mgunda alitakiwa asiwepo,hawa makocha wawili kuwaweka pamoja ni kuiangamiza Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Kipigo atachopigwa leo Azam kitampotezea maana halisi ya mchezo ni burudani
Sijasema afukuzwe[emoji15][emoji15]Nitarudia..
Msimfukuze kocha kosa sio la kocha..
Anajitutumua kujinazua lkn wapi [emoji23][emoji23]Daddy dr namugari ndiyo naona, anapendwa sana kupakatwa. Anadeka sana huyu paka
MaliziaNikiwa kama mwanadunduka Opps 🙊 mwanasimba guvu moya...
Tunaendelea na kauli yetu..
Kwa Mkapa hatoki mtu 😎😎😎
nasikiaa simba imeweka record ya kufungwa goli la mapema zaidKuna habari gani hapa jamani?
👀👀👀👀👀👀👀👀👀👀👀👀👀
Tupe dakika ya ngapi uko?Jean Baleke anachukua nafasi ya Bocco
Kocha anatakiwa kuanza na Baleke/Phiri, Bocco ameaminiwa anajiharibia mwenyewe..58' Jean Baleke anachukua nafasi ya Bocco upande wa Simba SC
Wanaangalizia kwa majirani gemu