FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Katika vitu simba hawatakiwi kufanya ni kumuuza boco
Huyu jamaa ni noma
Giant
El capitano
John raphael bocco[emoji1316][emoji16][emoji28]
 
Kwa uzoefu wangu wa kuifuatilia Simba kama haipo kwenye mgomo baridi viongozi basi kuna fitna za uchaguzi. Wachezaji wanapiga mipira ya mwisho kama sio professional players. Halafu Bocco anatumia uchawi au kitu gani?
 
Mganga wa timu kafa, kazikwa na hirizi
 
Kwa uzoefu wangu wa kuifuatilia Simba kama haipo kwenye mgomo baridi viongozi basi kuna fitna za uchaguzi. Wachezaji wanapiga mipira ya mwisho kama sio professional players. Halafu Bocco anatumia uchawi au kitu gani?
Mkuu ni wakati tu team inawezekana kupita,inacheza vizuri ila haipati matokeo
 
Kwa uzoefu wangu wa kuifuatilia Simba kama haipo kwenye mgomo baridi viongozi basi kuna fitna za uchaguzi. Wachezaji wanapiga mipira ya mwisho kama sio professional players. Halafu Bocco anatumia uchawi au kitu gani?
Wala Hakuna chochote kill mchezaji anajituma vzr Seema tu wako na pressure kubwa kufaitia kulabuliwa na raja Casablanca

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom