FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

Huu ndio tunaita upumbavu wa kiwango cha juu sana.
Kwa akili hizi Boko bado ana miaka sita ya kuwa striker Simba
Upumbavu uko kichwani mwako..haya ni maoni yangu...kwahyo kuwa striker miaka 6 ndo nini? Yy ndo wa kwanza kukosa magoli? Ndo maana tunasema atoke aingie mwingine...ila hata mastriker kina Halland wanakosa magoli pia...
By the way wapi nimesema Bocco abaki...acha mihemuko
 
Sio huyo pekee, kuna analysis naifanya pale Simba panahitajika kufumuliwa kwa namna ya kipekee mwisho wa msimu, huyo Zimbwe simlaumu, jamaa amecheza mfululizo misimu zaidi ya mitano!

Hii kitu haipo pengine duniani, ni Simba pekee..
Mlete Fei awasaidie
 
Upumbavu uko kichwani mwako..haya ni maoni yangu...kwahyo kuwa striker miaka 6 ndo nini? Yy ndo wa kwanza kukosa magoli? Ndo maana tunasema atoke aingie mwingine...ila hata mastriker kina Halland wanakosa magoli pia...
By the way wapi nimesema Bocco abaki...acha mihemuko
Take it easy guys, lets enjoy football
 
Back
Top Bottom