FT: Simba 2-0 JKT Tanzania | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 28/05/2024

Kitu kizito kimeiangukia Simba kichwani; wakamwombe msamaha sana Jean Baleke popole aliko.

Azam wamepata bao la kuongoza; sasa hivi wanongoza kwa point na GD ya mabao 10.

Nasubiri sana press conference ya Ahmed Ally baada ya mchezo wa leo!
 
Azam kashindilia Misumali Miwili HUKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…