FT: Simba 2-0 Mtibwa | NBC Premier League | Chamazi Stadium 03.05.2024

Poor 5imba,siku hizi nyuzi za match zinaanzishwa asubuhi badala ya watu kugombania kuanzisha saa sita usiku
Hata zile tambo kwamba eti nyuzi za kuhusu mechi zao zinatembea hazipo siku hizi zimekumbwa na mdororo. πŸ˜‚
 
SIMBA ANASHINDA NA GOLI 3 AMA ZAIDI FT

......HT OV .0.5..at list goli 1
FT OV 2.5 goli 3 ama zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…