FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

Tuwe fair, Kibu ameibeba sana Simba mechi mbili zilizopita, Ya hawa Bullets kule Malawi na ya Prisons. Tusiwe wepesi kusahau mchango wa mchezaji
Tusiogope kuambiana ukweli sababu ya historia mkuu. Kumbuka haya mashindano ni ya mtoano yanahitaji ubora wa mchezaji kila anapohitajika uwanjani.
Kibu ni mzuri lakini anafanya makosa mengi sana uwanjani kabla hajafanya moja zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…