FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Chonde chonde "wananchi" tufaeni la jua leo na sisi tutawafaa la mvua kesho!! Kwa pamoja tumshangilie "mnyama" nguvu moja mwanzo mwisho!! Na sisi tutawashangilia "wananchi" kesho mwanzo mwisho!! Mkikataa kuna mmoja anawaona na kesho msitulaumu!!
"Wananchi" naona mmekataa kumshangilia mnyama!! chonde chonde kesho tusilaumiane!! Sijawaona mkishangilia!! Namshukuru sana Mungu ametubeba vilivyo!! Nawatakia kesho ushindi hata kama nyie hamtutakii mema!! Simba hatutalipa baya kwa baya!! Mshindwe wenyewe tu lakini mnyama anawatakia mafanikio!!
 
Back
Top Bottom