OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Wydad siku hizi wamekuwa unga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba tusibweteke hawa jamaa ni hatari Sana! Kama siyo uhodari wa ayubu saa hii habari ingekuwa nyingine kabisa! Hii gemu bado Sana!
yalla live search hiyo website googleWakuu naomben mwenye link
Clean sheet kwa idadi ngapi za mechi?Kwani Ayubu ana cleansheet ngapi ,Diara ana cleansheet ngapi.
Asante mtani mpendwaa....na nyie kesho mnawachapa..robo fainali inawezekana
Laban ogDhambi za Onana apewe Utopolo gani wa humu?
Kutoka WapiGhafla[emoji23][emoji23][emoji23]watu wamepata Nguvu
Finalist wa CAF champions League last season hao.Wydad siku hizi wamekuwa unga sana
Halafu eti inacheza club bingwa ya duniaHii Wydad ya msimu huu hamna kitu. Ni kama Mtibwa Sugar tu. Ingepangwa kundi moja na timu kali kabisa kama Yanga, aisee ingefungwa goki 10.
Hii ndo Simba sasa, Oparesheni bila Ganzi imeshaanza ni mwendo wa mikasi na viwembe tu.Tayari mmeshaanza!
😂😂@Labani og
"Wananchi" naona mmekataa kumshangilia mnyama!! chonde chonde kesho tusilaumiane!! Sijawaona mkishangilia!! Namshukuru sana Mungu ametubeba vilivyo!! Nawatakia kesho ushindi hata kama nyie hamtutakii mema!! Simba hatutalipa baya kwa baya!! Mshindwe wenyewe tu lakini mnyama anawatakia mafanikio!!Chonde chonde "wananchi" tufaeni la jua leo na sisi tutawafaa la mvua kesho!! Kwa pamoja tumshangilie "mnyama" nguvu moja mwanzo mwisho!! Na sisi tutawashangilia "wananchi" kesho mwanzo mwisho!! Mkikataa kuna mmoja anawaona na kesho msitulaumu!!
Alizodaka huyo Ayubu na Diarra then calculate percent,hesabu za darasa la saba.Clean sheet kwa idadi ngapi za mechi?
Na ligi gani?
Acha Fitna Bung'iIpigwe Ushindi UpatikaneUnaanzaje kuangalia mipira ya Mipang'ang'a ilihali wewe ni Mwananchi kama si uwongo huu ni nini [emoji848][emoji23]