reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
EwaAmbivu na mbichi zishajulikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EwaAmbivu na mbichi zishajulikana
Ngoja kesho Aziz Ki aje akiwashe kama alivyokiwasha Onana leo! 😁😁😁Uto wanacheza lini?
Haki, tena nina furaha mnoooSiamini kama upo poa, ila kesho nitaamini baada ya Medeama kupigwa. mkono wa nyani.
Angalia chuma hiyo ndio nakuja hapo Kilimanjaro na Wanyamwezi tuko Sunset Pub.Nipo naiangalia online live hapa homeView attachment 2847234View attachment 2847235
Nipo Bombronxy hapa na wanangu tunamjadili Onana na AyoubAngalia chuma hiyo ndio nakuja hapo Kilimanjaro na Wanyamwezi tuko Sunset Pub.
😂Haki, tena nina furaha mnooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee muongo, ulikua unatuchoraa.Mjukuu niwache! [emoji16][emoji16][emoji16]
Na mimi niliwaombea mshinde mapema kabisa mechi bado mbichi. Uzalendo kwanza jamani!
View attachment 2847327
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aziz ki akiwasha sio jambo geni, ila Skudu ndo akikiwasha hapo sasa mtafutanooo.Ngoja kesho Aziz Ki aje akiwashe kama alivyokiwasha Onana leo! [emoji16][emoji16][emoji16]
😂Nimewasemehe Bure tu Kwa kashfa zao kabla ya mechiHuko kwenu vipi?
[emoji23]
Mwanasimba 🥰[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aziz ki akiwasha sio jambo geni, ila Skudu ndo akikiwasha hapo sasa mtafutanooo.
Aanze kuongoza kwan huko, mbna simba ameshawahi kuongoza kundi na Al Ahly akiwemo ndanii?Simba wameshinda dhidi ya wachovu wa kundi basi ndio wanaviiiimba.
Subirini mumfunge Asec huko kwao ndipo mseme timu imeimarika.
Yanga angekuwa kundi hilo angeongoza kundi
Shangaziii, leo ba tamu alisema niende ghetto kwake nlimkatalia, baada ya match anashangaa namuambia nikodie bolt nisogee hapo.Mwanasimba [emoji3059]
😂😂😂Ila aunt umeshindikana kwaiyo tungepigwa mwanangu angekula Kwa machoShangaziii, leo ba tamu alisema niende ghetto kwake nlimkatalia, baada ya match anashangaa namuambia nikodie bolt nisogee hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kacheka had baas, niko hapaa yaan leo ntamfurahishaaaa, na venye wote simbaa woiiiiih
Tunaongezaa mabao yatakua 4 , [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkiwa wachovu kwenye kundi lenu mnaanza kusingizia kundi lingine,basi hameni kundi, nyumbu nyeSimba wameshinda dhidi ya wachovu wa kundi basi ndio wanaviiiimba.
Subirini mumfunge Asec huko kwao ndipo mseme timu imeimarika.
Yanga angekuwa kundi hilo angeongoza kundi
Raha ya ushabiki ni kumkera mpinzani wako bila kumuudhi wala kumvunjia heshima...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee muongo, ulikua unatuchoraa.
Tungefungwa hapa, huwa unashusha memes had nachukia, nabaki kusema huyu mzee kumbe nae mchoshoo hivii aaaah.