FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

Simba wameshinda dhidi ya wachovu wa kundi basi ndio wanaviiiimba.

Subirini mumfunge Asec huko kwao ndipo mseme timu imeimarika.

Yanga angekuwa kundi hilo angeongoza kundi
Tuambie Madeama ni ya ngapi kwenye mkeka wa caf kwa klabu hapa afrika. Tuambie wydad ni ya ngapi kwenye mkeka huo pia halafu endelea kuota ndoto ya mchana!
 
Ninasikitishwa sana na huyu mwanamke ambaye mara kadhaa huwa anaposti video zenye utata dhidi ya Simba huku wazungumzaji wakiwa wana simba wasiojielewa.

Kuna wakati huwa naamini watu kama hawa huwa wanatumika na mpinzaji wetu mkubwa hapa nchini kuichafua Simba.

Kuna shabiki mmoja wa utopolo ambaye amevaa jezi ya Simba anahojiwa anasema kuwa leo waamuzi walikuwa upande wetu ndio maana Simba ameshinda. Kusema kweli hii ni kauli ya kukatisha tamaa sana wachezaji na benchi la ufundi.

Kwa akili yake huyu mwanamke ni kwamba hakuna walichofanya wachezaji wa Simba ila tu tumebebwa.
Kwamba mwalimu hajui mpira kuweka mabeki wengi kipindi cha pili.

Hawa wahuni Simba ingejaribu kuwaepuka kwa sasa maana wakati ndio tunaanza kujenga spirit ya ushindi tena, wanajitokeza watu wapuuzi kama huyu mwanamke ambaye kwa kweli ninamwona kama mtu anayetumika na wapinzani kueneza propaganda mbovu dhidi ya Simba
 
Uto akililia wembe mpe! Si mlitaka kuingia makundi! Ona Sasa unawaogopa hata Madeama ambao kwenye ramani ya soka la afrika ngazi ya klabu hawapo kabisa! Hata ukiwatafuta kwa tochi kwenye 20 Bora hawapo!
 
Na huyu mchome mtopolo huyu atakuja kufa kinywa wazi hajui kuna watu wengine wana ushabiki uliopitiliza watakuja kumfanya kitu mbaya
FB_IMG_1699387146201.jpg
FB_IMG_1702911726848.jpg
 
Ninasikitishwa sana na huyu mwanamke ambaye mara kadhaa huwa anaposti video zenye utata dhidi ya Simba huku wazungumzaji wakiwa wana simba wasiojielewa.

Kuna wakati huwa naamini watu kama hawa huwa wanatumika na mpinzaji wetu mkubwa hapa nchini kuichafua Simba.

Kuna shabiki mmoja wa utopolo ambaye amevaa jezi ya Simba anahojiwa anasema kuwa leo waamuzi walikuwa upande wetu ndio maana Simba ameshinda.
Kusema kweli hii ni kauli ya kukatisha tamaa sana wachezaji na benchi la ufundi.
Kwa akili yake huyu mwanamke ni kwamba hakuna walichofanya wachezaji wa Simba ila tu tumebebwa.
Kwamba mwalimu hajui mpira kuweka mabeki wengi kipindi cha pili.

Hawa wahuni Simba ingejaribu kuwaepuka kwa sasa maana wakati ndio tunaanza kujenga spirit ya ushindi tena, wanajitokeza watu wapuuzi kama huyu mwanamke ambaye kwa kweli ninamwona kama mtu anayetumika na wapinzani kueneza propaganda mbovu dhidi ya Simba
Enjoy football achana nae utahangaika na mambo mangapi?
 
Mwamuzi alikua 50...50
Kuna madhaifu ya pande zote mbili aliyabalance
 
Kivipi tutapita sare 1 na ushindi 1 kwenye mechi mbili zilizobaki? Je Wydad akishinda mechi zote mbili si inakuwa points 9? Naomba ufafanuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sare 1 na ushindi mmoja Simba anafikisha points 9,na Wydad akishinda zote anakuwa na 9 hiyo kuwa sawa,kwa kanuni za CAF mkilingana points cha kwanza wanaangalia mlipokutana( head to head) mlitokaje, Wydad kamfunga Simba goli moja kule Morocco na Simba kamfunga Wydad goli 2 hivyo Simba anapita moja kwa moja hata
 
Mkuu siyo kwamba mkilingana points wanaangalia kwanza magoli,yakilingana pia ndo waanhalie head to head?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom