FT: Simba 2-0 Yanga | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium | 16.04.2023

Huyu RAMADHAN NGODA ni SIMBA huyuuu si mnamuona anavyotabasamu na maneno yake ya kinafki nafki
 
Na nyie Rivers wanawasubiria kwa hamu wawapigeni staili pendwa ya nje ndani
Ukifuatilia post zangu tangu juzi nimeweka wazi Simba na Yanga wasimalize nguvu zao kwenye mechi hii kuna mechi ngumu za kiushindani zinawasubiri, Mara nyingi mechi hizo haziamuliwi kwa mauzauza Bali kwa quality za timu.

Mimi hamu Yangu ni kuona Yanga inaingia nusu fainali, mpaka sasa sina cha kuwadai wachezaji wetu, wametupa good time sana.
 
Mtani wangu, nilikwambia mapema andaa viatu visafi ulale navyo. Ona sasa umekosa Lunch.

Kuugua kwa Manula imekuwa heri. Next time awe anaigiza namna hii
Kwa kweeli. πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila ndo mpira Mtani wacha tugange yajayo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…