Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitutanie 😀Hizi derby, underdog ndio huwa anaibuka mshindi. Wik end safi sana kwako 😅😅
AahaaaaaaHaiwezekani timu inayoshiriki kombe la losers ashinde mbele ya timu iliyoko kwenye mashindano ya mabingwa!
Daaah apumzike huko alipo nilikuwa napenda sana hii kauli yake🤣🤣🤣🤣🤣🤣💙.Kumekuchaaa kumekuchaaa in late mzee Majuto's voice...
Thanx beshte tukutane saa moja..
Hayo ni maoni yangu.Duuuh !!
Mimi kesho nimepanga kwenda kumpiga vibao boss halafu namuambia kama unafikiri imekuuma kama ilivyowauma wana Yanga kufungwa wakiwa kwenye jezi yao nyeusi nirudishieMimi hata nyumbani siendi leo. Nitaenda kesho namsaidia meneja wa uwanja kufanya usafi uwanjani
Wa sasa kiboko sio??Washukuru mganga wao 😂😂😂
[emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2]Yanga kuna weakness mahala, haiwezekani, kuna hujuma ndani kwa ndani, kikao cha dharura haraka sana, hujuma zote ziangaliwe, kama kuna mchezaji au wachezaji wamehongwa au referee au hujuma yoyote lazima uongozi iangalie upya haraka
Kwenye derby za recently,Simba ni underdogAre u serious mkuu? Simba ni andadogi? 🙄 🙄
AahaaaaaMimi kesho nimepanga kwenda kumpiga vibao boss halafu namuambia kama unafikiri imekuuma kama ilivyowauma wana Yanga kufungwa wakiwa kwenye jezi yao nyeusi nirudishie
Habari ndio hiyo 😅😅Usitutanie 😀
Yanga wameangushwa na beki mbovu ambao walionekana kuwa na kiwewe toka dakika ya kwanza na kuacha mianya ambayo Simba walitumia ipasavyo pia Mayele alitakiwa aondolewe kipindi cha pili baada ya kuumia.
Makolokolo Vs Wydad Casablanca kwanza tujue tuna kikosi bora au tulikamia tu mechi ili ubingwa wa Yanga - NBC PL 2023 usitangaziwe mikononi mwetu.Nabi ana matatizo makubwa kwenye ufundishaji wake. System yake ikifeli haina mbadala. Huu uchezaji wa pass nyingi na nyingi zikiwa ni back pass hauna maana, huwa anacheza kama mchezo ni siku nzima. Simba waneizidi Yanga kwenye mambo mawili tu, precision na aggression.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Apostle Leo mtasema yoteeeeHabari ndio hiyo [emoji28][emoji28]