FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

Wakifanya faulo za kustahili red card haiwezi kuwa excuse refa awaachie eti kwakua wana red card moja
Hata njano haikutoka hapa
FB_IMG_16953042354770587.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
TZ PL huharibiwa na Makolokolo kubebwa kwa red cards toka timu pinzani kisha hupiga goli nyingi wakipumbazwa kuwa wana timu bora kumbe ni ukolokwinyo mtupu. Imagine na hapo Costal Union ni tawi lao Mbumbumbu
Mpira wa miguu ukiushabikia seriously kama hivi utazeeka mapema
 
Back
Top Bottom