FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

FT: Simba 3-0 Coastal Union | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 21.09.2023

Japokuwa kuwa kwamba leo siku ya kazi ndio msuse kabisa kwenda uwanjani hata watu mia mbili hamfiki. Halafu mwisho wa msimu TFF wakitoa takwimu timu iliyoongoza kuingiza mashabiki viwanjani mnaanza kulialia kuwa takwimu za uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ajabu gani..kuna timu kwenye siku yao walifungulia MBWA na uwanja haukujaa
 
Hata ile faulo ya Lomalisa angefanya mchezaji wa Yanga Kwa mchezaji wa Namungo,waimba mapambio na Media zao leo ungekuwa ndiyo story kubwa
Mbumbumbu ni wahanga kiakili kutobeba TZ PL misimu miwili mfululizo 2021/22 - 2022/23, lazima wabebwe bebwe kama matoto akina Junior ili yasiwehuke [emoji2960]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom