FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Hii michango, inanishangaza. Muanzisha uzi huu, katoa ombi, kuhusiana na Kibu, watu wanaazisha mambo mengine.
Kuna makosa mengine ukiyaona/ukiyasikia, unaweza kukisia akili za huyo mtu. Kwa hili la Kibu, ni la kushangaza sana. Wapo watu wanafananisha na kitendo alichokifanya Fei na Dube. Binafsi naona ni tofauti sana. Hiki cha Kibu, ni cha mtu asiyejua chochote. Yaani kama mtoto mdogo. Alichotaka kiwe, katika hali ya kawaida, bila ruhusa ya Simba, kilikuwa hakiwezekani.
Nami naungana na mleta hoja, asamehewe tu! Ingawa waliokuwa wanamshabikia kwa kumpotosha, wameshaanza kusema, apewe adhabu kali, ikiwa ni pamoja na kutengwa na wenzie! Pia, wanadai Simba isipofanya hivyo, itaonyesha ni dhaifu! Sina shaka, kinachokuja ni ...."AKIADHIBIWA, AMEONEWA. AKIACHWA, AMEOGOPWA!"
 
Mbona Azamu hawaoneshi?
 
Karibu mtani Shadeeya uangalie soka la vijana kabla ya kesho kuangalia mechi ya Wazee wa TASAF
 
Hawa Sold out FC hawajui hata mechi yao inachezwa saa ngapi.
Kaa hapo hapo kwenye TV usubiri hadi mechi itakapochezwa, hata kama ni saa 1:00 usiku. Si hamna kazi za kufanya zaidi ya ushabiki wa mpira, tena kwa mechi ambayo timu yako haichezi!
 
Hapa kuna watu wengi wataingia ingia bure,huku wenye tickets wakiachwa nje.
 
Kwakweli nami najiuliza iki swali,ukipita huko mtaani kwene mabango yamabanda yampira kila mmoja ameandika lake,wengine sa10 wengine sa 1
Du! Leo watatukomesha sana. Sasa saa 1 mbona mbali sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…