Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Sawa mrithi wa Sheikh Yahaya..Makolo mnaweza kuishia nafasi ya nne msimu huu si kwa ubaya lakini
Nikupe tissue ufute machozi?Simba imekaa kama imebaki miezi mitatu hivi ya kujiandaa kabla ya msimu. Trust me kama simba ndo hii inaanza ligi habari ya ubingwa sahau. Timu kuanzia Namungo, KMC hadi Pamba zitajipigia. Yanga ndo usiseme itajipigia hadi MO ajiteke tena
Unaona ball linavyo tembea HII SIMBA WATU WATAKOJOZWA VYA KUTOSHA 🔥 🔥Usifananishe Chelsea na vitu vya ajabu
APR uchezaji wake ni kama timu ndogo , hata ukiangalia mentality ya wachezajinwake wakiwa na mpira unaona kabisa , hii Mechi ingekuwa ni against Azam wachezaji wengi wangefichwa ,Hapo sijazungumzia Yanga ambayo siku hizi ina presha kubwa kwenye ukabajiKocha fadlu leo kachezesha vikosi vitatu kwa ubora uleule tofauti na gamondi anayeng'ang'ania kikosi kimoja
😂Angalia usikojozwe weweUnaona ball linavyo tembea HII SIMBA WATU WATAKOJOZWA VYA KUTOSHA 🔥 🔥
Timu ndogo iliyoifunga yanga goli 3APR uchezaji wake ni kama timu ndogo , hata ukiangalia mentality ya wachezajinwake wakiwa na mpira unaona kabisa , hii Mechi ingekuwa ni against Azam wachezaji wengi wangefichwa ,Hapo sijazungumzia Yanga ambayo siku hizi ina presha kubwa kwenye ukabaji
Simba imekaa kama imebaki miezi mitatu hivi ya kujiandaa kabla ya msimu. Trust me kama simba ndo hii inaanza ligi habari ya ubingwa sahau. Timu kuanzia Namungo, KMC hadi Pamba zitajipigia. Yanga ndo usiseme itajipigia hadi MO ajiteke tena
SIMBA DAY 💪💪😂Angalia usikojozwe wewe
Ubaya, ubwelaUto msiondoke mkafagie uwanja
Huyu hii risiti itamfanya alie sana😂Angalia usikojozwe wewe