Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ukisusa mwenyewe inatosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina miezi sasa sijawahi Kumtusi Mtu hapa JamiiForums na kama una Kumbukumbu ya Kumtusi Mtu weka hapa ionwe.utayaweza matusi..? maana huyu ni propera ya hayo madude!😂
uwanja wako ukizidiwa usiniite!Nataka kutukanwa
Nikuite wewe kama nani?🤔uwanja wako ukizidiwa usiniite!
umekuwa mwema sasa hongera!Nina miezi sasa sijawahi Kumtusi Mtu hapa JamiiForums na kama una Kumbukumbu ya Kumtusi Mtu weka hapa ionwe.
mtufua kizazi!Nikuite wewe kama nani?🤔
Leo unaonekana una Usununu / Hasira fulani hivi Kulikoni? au Mshahara bado haujasoma katika Muamala wako hapo?Nikuite wewe kama nani?🤔
Sina hata hasira Genta!Leo unaonekana una Usununu / Hasira fulani hivi Kulikoni? au Mshahara bado haujasoma katika Muamala wako hapo?
Haya naona nanyi sasa taratibu mnayaanza yale yale ya Jana ya akina Naby Keita na The Icebreaker hadi wamepewa BAN. Shauri zenu.mtufua kizazi!
Sawa sipendi Watu wagombane na watukanane hapa JamiiForums. GENTAMYCINE siku hizi nimekuwa MPATANISHI MKUU.Sina hata hasira Genta!
Mimi na Kenzy hatuwezi kufikia hukoHaya naona nanyi sasa taratibu mnayaanza yale yale ya Jana ya akina Naby Keita na The Icebreaker hadi wamepewa BAN. Shauri zenu.
Huna lolote..!Sawa sipendi Watu wagombane na watukanane hapa JamiiForums. GENTAMYCINE siku hizi nimekuwa MPATANISHI MKUU.
Huamini Mkuu au? Payge kanijenga sana na ndiyo maana Siku hizi unaona GENTAMYCINE nimebadilika hadi najishangaa.Huna lolote..!
Kipi? Kama kupenda Kubandua nakuomba tafadhali usipoteze muda wako Kunishauri niache kwani napenda Kubandua.Bado ujaacha kitu kimoja!
Kwakweli nami najiuliza iki swali,ukipita huko mtaani kwene mabango yamabanda yampira kila mmoja ameandika lake,wengine sa10 wengine sa 1Wakuu naomba mnijuze hii nechi inaanza saa ngapi?