FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Foleni mbona haiendi huko🤣🤣
IMG_2641.png
 

Leo Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, wenye nchi Simba SC watafanya ule mtoko wa jezi mpya na utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi kwa msimu wa 2024/2025

Utambulisho huo utamalizika kwa mechi ya kirafiki dhidi ya APR kutoka Rwanda.

Kaa nami katika uzi huu upate update ya matukio yote yakakayojiri..
Simba vs APR ni kugombea nafasi ya 3.....Kesho wanatafuta Bingwa na mshindi 2....period....Sanda Day
 
Kaa hapo hapo kwenye TV usubiri hadi mechi itakapochezwa, hata kama ni saa 1:00 usiku. Si hamna kazi za kufanya zaidi ya ushabiki wa mpira, tena kwa mechi ambayo timu yako haichezi!
Ubwela hujui muda wa mechi unabwabwaja tu.
 
Back
Top Bottom