FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Leteni timu hii leteni 🤣😁😂😂😂Cc ephen_
1720541713238.jpg
 
Kwa dk 45 za kwanza, bado hakuna muunganiko wa timu. Ni suala la individual players. Tarehe 8 tunaweza nyanyasika iwapo kocha hatakuja na mbinu ya kuonganisha timu.
Bado hamjasema.
 
Nimeonaa mchezaji mmoja tu wa makoloo,no.7, wenginee ni wasuka dreeidii tupu. Tarehe nane msijeee!🤣
 
Back
Top Bottom