Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Kwamba hii ni bora kuliko hiyo? Umeanza kushabikia mpira lini?Mechi hiyo wala haina maana kwa simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hii ni bora kuliko hiyo? Umeanza kushabikia mpira lini?Mechi hiyo wala haina maana kwa simba
Watoto hawalali na pesa .Ulikimbia uzi nashangaa umekuja mkiwa mnaongoza moja
Hawana wanalolijuaWashabiki wa yanga ni oya oya mkuu .
Washabiki wa yanga ni oya oya mkuu .
Ishaanza matusi muhasibu fakeNenda kajojoe huko
Ukiwa unakandwa au?Hizi goli 2 hata mm nafikisha
Simba ongezen Ubnfu
Chaliifrancisco wewe ni timu gani?
Lugha imeanza kubadilika. Imekuwa kumwendea kwa heshima!Huyu Yanga msipomuendea kwa heshima hiyo tarehe 8 wataprint jezi nyingine.
Nilisahau wewe ni mzungu
Alooh!! Nyny wa motoo!!Sisi ni wamoto sana
Usisahau kuwa huyo anayepiga kama Ngoma, mwaka huu huu alipigwa kama Ngoma na Yanga.Niwakumbushe Tu Huyu anayepigwa Leo kama Ngoma Alikuwa Mbabe wa Yanga mwaka huu Alimcharza Yanga Magoli 3 matakatifu
Bila kusahau ya 4-1Vincenzo Jr umeomba Video nimekupa karibu sita ila naona Kimya mkuu au nikuongeze zingine tulizokuwa tunawachapa 2-0 na 3-0
Neema ya macho hii 😎😎😎
glory glory Manchester United 🤗