FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Kwa hiyo unataka kusema nini?
Nachotaka kusema subiri ligi ianze ndio majibu yatakuwa sahihi, tuupe muda utoe majibu ila Simba day haiwezi kuwa kipimo cha kuhukumu mchezaji au kusifia mchezaji. Ni sawa sawa na siku ya Yanga.
 
Simba hamnaaa Timu hapoo, mtaamini Tarehe 8. Warwanda vyumba vya kubadilishia nguoo (HT) wamekwenda ambiwa muachie goals.
 
Huyo tarehe 8 atakimbia humu
Wote wanaoshangilis ushindi wa Leo hawataonekana siku hiyo. Wengine watadai eti wako msibani wamefiwa na ndugu hawawezi kutazama mpira, wengine watadai wako wodini wanauguliwa na wake au Waume zao hivyo hawawezi kuangalia mpira. Kila mmoja atakuja na excuse ya kumfanya apotee.
 
Miezi 7 tu iliyopita uto walipokutana na APR
20240803_231541.jpg
 
Nachotaka kusema subiri ligi ianze ndio majibu yatakuwa sahihi, tuupe muda utoe majibu ila Simba day haiwezi kuwa kipimo cha kuhukumu mchezaji au kusifia mchezaji. Ni sawa sawa na siku ya Yanga.
Ila nyie kucheza na wazuru walioponea kushuka daraja na kuwafunga ndio kipimo kuwa Yanga ni bora na hamuhitaji muda utoe majibu?
 
Wote wanaoshangilis ushindi wa Leo hawataonekana siku hiyo. Wengine watadai eti wako msiba mi wamefiwa na ndugu hawawezi kutazama mpira, wengine watadai wako wodini wanaiguliwa na wake au Wayne zao hivyo hawawezi kuangalia mpira. Kila mmoja atakuja na excuse ya kumda ya apogee.
Naunga mkono hoja
 
Binafis nimeridhika na timu sema kibe na fred mpura umewakataa.

Yanga hata mkitufunga sawa tu tupo kwenye ujenzi sisi.ila zisiwe goli zaidi ya moja au mbili tu
Wewe umesema vizuri; unaomba tuwafunge goli za heshima, kama moja u mbili tu halafu tuavhie hapo. Hao wenzako wanaosema hovyo ndio watakaoiponza timu, kwani tukifungulia mbwa, utakuwa ni mwendo wa nne hadi sita.

Ndugu zenu wa Kaizer Chiefs walivyokumbana na Yanga walisema hivi

1722719340168.png
 
Back
Top Bottom