FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

Furahini Ile mbaya kuanzia 13 kitumbua kinaingia mchanga . Mpaka mwisho
 
Simba mnatuumiza mashabiki wenu.
Jezi mbaya na mmeleta pic chache sana.
Halafu mlivyo wajinga mmeleta team wachovu ili mtudanganye ..

Mimi nahama hili li team bora nihamie yanga tu..
 
Simba mnatuumiza mashabiki wenu.
Jezi mbaya na mmeleta pic chache sana.
Halafu mlivyo wajinga mmeleta team wachovu ili mtudanganye ..

Mimi nahama hili li team bora nihamie yanga tu..
Ninyi akina Joyce Lomalisa mna akili za kiaziza sana hamuishiwi wivu wa kike kugombania mabwana.

Hama tu tutaoa mke mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…