FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

Waumie watu ambao wanavishikilia vikombe vya ligi kuu na azam confederation ?au period inakusumbua?
Simbaa watu wana vibeeeee uwanja haujapoaaa
Tundaman endelea kuwaboaa yani unawakera pale palee panapouma..
 
Wasanii wetu hawajui vitu vya kuimba kwenye shughuli muhimu na kubwa kama hizi...maneno gani yale alikuwa anaimba halafu mbele ya watoto wa shule anawechezesha hizo nyimbo.
Wakati mwingine tuwaambie wasanii wetu.
Usije kushangaa akaimba hivyo hata mbele ya Rais.
Kanikera sana yule dogo, anaimba matusi eti una basha wako, daah basha si ni mfir*j*.

Mcheki king kiba anakinusha hapo, aloo acha wasanii wakubwa wazidi kua wakubwa tu.
 
Back
Top Bottom