FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

Ahmed Ally Anatarajiwa Kuingia Uwanjani Na Ngamia.

Hii Anataka Kumaanisha Nini?
Anaman
Halafu huyu msanii wao kila mwaka anawaletea tu mikosi. Mwaka jana aliingia uwanjani akiwa ndani ya jeneza! Na kilichotokea timu ikaambulia patupu msimu mzima. Safari hii ameamua kuinyonga tena timu yake!!
Ameingiaje?
 
Achana na Tunge, lianzishe kila kitu kinaanzishwa Na mtu,
 
Wasanii wetu hawajui vitu vya kuimba kwenye shughuli muhimu na kubwa kama hizi...maneno gani yale alikuwa anaimba halafu mbele ya watoto wa shule anawechezesha hizo nyimbo.
Wakati mwingine tuwaambie wasanii wetu.
Usije kushangaa akaimba hivyo hata mbele ya Rais.
Wanahitaji semina hawa...
 
Back
Top Bottom