Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hazina kitu nimekupa ushauri tuu mana najua upo mwenyeweKwani koment zangu zinakuwaje
kivipi wakati burudani zipo.wee unataka ipi?Uwanja uko full Ila kwa burudani Simba bado sn
Kwani haujajaa?Cheo Kipya Cha Hassan Bumbuli Kinamfanya Kusifia na Kubali kuwa Simba Wamejaza Uwanja
Scars game ya simba na dynamo saa ngapi ?Mechi ya simba na dynamo ni saa ngapi ? Na je azam watarusha live ?
Wasanii wote wakali wapo Yanga! Kuanzia kwenye singeli, Amapiano, Bongo fleva, nk.Uwanja uko full Ila kwa burudani Simba bado sn
Hapana mkuu, nimejaribu tu kuwahabarisha watanzania ambao leo wanakusanyika kusherehekea kufeli kwao 😅Kwani hili gazeti lako lina uhusiano wowote ule na huu uzi!! 🤔
Halafu huyu msanii wao kila mwaka anawaletea tu mikosi. Mwaka jana aliingia uwanjani akiwa ndani ya jeneza! Na kilichotokea timu ikaambulia patupu msimu mzima. Safari hii ameamua kuinyonga tena timu yake!!Simba mwaka huu hamuambulii kitu, mmeshajinyonga wenyewe...