Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Wamezingua sana aisee, walisema wanaanza saa 5 ila wameanza kuonesha saa 8 mchana.Wapenzi wengi waburudani Wanailalamikia sanaaa AZAM MEDIA kwa Kuihujumu Simba na Mashabiki wake walio Lipia Ving’amuzi. Kwasababu Hawaoneshi Live
Kiukweli uwanja umefulika ila tamasha ni la hovyo tu.