Wangeweka KIINGILIO 20,000/- kupunguza usumbufu alafu tungewapiku Yanga uwanja ungejaa vile vile na ungetapikatiketi sold out, tiketi zilikuwa na seat number lakini maelfu ya watu wamezuiwa Kwa sababu uwanja umejaa huu ni uhuni uliopitiliza.
Itabidi mpewe kombe la kujaza uwanja.Mbona uwanja mweupe hv? MaGap kibao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uto
wasichoelewa Kuna mashabiki wa msimu na mashabiki wa muda wote, unapokejeli mashabiki wa muda wote ukadeal na mashabiki wa msimu hasara inayokuja ni kubwa. Wapi mashabiki wanaosafiri na Timu Leo wamezuiwa wakati Wana tiketi Tena zenye seat number wakushazira ni ngumu kuwarudisha tofauti na Jao wanaofata burudani za wasanii.Wangeweka KIINGILIO 20,000/- kupunguza usumbufu alafu tungewapiku Yanga uwanja ungejaa vile vile na ungetapika

Mabingwa wa robo fainali.Sisi ndo Simbaaaaa sisi ndo Mabingwaaaaa
Haina jina?
Ooooh yeaaah.....sisi ni mabingwaaa
Nimefurahi sana....Madam Prezdaaaa anaingia