Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Wangeweka KIINGILIO 20,000/- kupunguza usumbufu alafu tungewapiku Yanga uwanja ungejaa vile vile na ungetapikatiketi sold out, tiketi zilikuwa na seat number lakini maelfu ya watu wamezuiwa Kwa sababu uwanja umejaa huu ni uhuni uliopitiliza.