FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

tiketi sold out, tiketi zilikuwa na seat number lakini maelfu ya watu wamezuiwa Kwa sababu uwanja umejaa huu ni uhuni uliopitiliza.
Wangeweka KIINGILIO 20,000/- kupunguza usumbufu alafu tungewapiku Yanga uwanja ungejaa vile vile na ungetapika
 
wasichoelewa Kuna mashabiki wa msimu na mashabiki wa muda wote, unapokejeli mashabiki wa muda wote ukadeal na mashabiki wa msimu hasara inayokuja ni kubwa. Wapi mashabiki wanaosafiri na Timu Leo wamezuiwa wakati Wana tiketi Tena zenye seat number wakushazira ni ngumu kuwarudisha tofauti na Jao wanaofata burudani za wasanii.
 
Back
Top Bottom