Ni Siku Kubwa, Siku ya wenye Nchi, wengi Wanaifahamu kama "Simba Day". Tutakuwa "LIVE AND DIRECT" Hapa Kijiwe cha Soka "JAMII SPORTS" Kukuletea yote vanaondelea kutokea pale Benjamini Mkapa katika hii siku Kubwa, kwa wana simba.
Simba Sc Imetangaza Kufungua Mageti ya Uwanja. Kuanzia Saa 2 kamili asubuhi na Kutarajia Kuujaza uwanja ifikapo saa 6 Kamili Mchana. Baada ya Ticket Zote kuwa "SOLD OUT" Baadae Saa 1 kamili. Jioni Mtanange Wa Mpira Wa Miguu uta fuata ni SIMBA SC Vs POWER DYNAMOS
Live Updates zote utazipata hapa.
UPDATES:
Ifikapo Saa 2 Asubuhi Mageti ya uwanja wa Kwa Mpaka yatafunguliwa
Kutakuwa na Burudani Mbalimbali, Mchezo wa Kirafiki kati Ya Simba Queens na Msala Princess, CRDB BANK VS NMB BANK, Utambulisho wa wachezaji wa Msimu wa 2023/2024 na Baadae ni Mchezo Kati ya Simba Vs Power Dynamos
Mchezo unao endelea sasa ni Simba Queens Vs Masala Princess
FT: Simba Queens 4 - 0 Masala Princess
FT : CRDB 1- NMB 0
Utambulisho wa Wachezaji na Bechi la ufundi, Burudani zote na Mh Rais kukagua Vikosi zimesha Kamilika
Kinacho Fuata ni Mtanange Kati Ya Simba na Power Dynamos
Mchezo umeanza
5' Gooooooooooooooooo
Onana anaipatia Simba goli la kwanza kwa shuti kali