FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

Kama ndio first eleven hawa. Wakawaida sana japo kwenye uratibu wa tukio wamejipanga. Ngoja tuone kama wataingiza timu nyingine mpya. Kwa first eleven hii, hata mimi napata namba.
Yawezekana definition yako ya first eleven ni timu inayoanza kipindi cha kwanza
 
CD8F9B3A-81C4-45D7-AD35-95ECBBACFD79.jpeg
 
Unyama unyama unyama unyama
Sio yule wa mapiano mnyasa mnyasa yule utopox mnyasa
Unyama unyama unyama unyama huyo ni onana mnyama mnyama anaupiga mwingi onanaa mnyama 😂😂😂
 
Mbona sisi tupo live uwanjani afu mnachokiandika hatukioni mbona mnadanganya watu mitandaoni? shoo ya kawaida sana mara mseme alikiba sjui kaweje mara sjui ubunifu! upi sasa

Tupo uwanjani live acheni mhemko uongo uongo tu
 
Back
Top Bottom