Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Kibu apumzike tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntibazonkiza na Kibu ndio watupishe, Mzamiru yupo vizuri tu.Saido, Kibu Denis, Mzamiru Watoke
Hamna kipya hapo mikia...Ni Siku Kubwa, Siku ya wenye Nchi, wengi Wanaifahamu kama "Simba Day". Tutakuwa "LIVE AND DIRECT" Hapa Kijiwe cha Soka "JAMII SPORTS" Kukuletea yote vanaondelea kutokea pale Benjamini Mkapa katika hii siku Kubwa, kwa wana simba.
Simba Sc Imetangaza Kufungua Mageti ya Uwanja. Kuanzia Saa 2 kamili asubuhi na Kutarajia Kuujaza uwanja ifikapo saa 6 Kamili Mchana. Baada ya Ticket Zote kuwa "SOLD OUT" Baadae Saa 1 kamili. Jioni Mtanange Wa Mpira Wa Miguu uta fuata ni SIMBA SC Vs POWER DYNAMOS
Live Updates zote utazipata hapa.
View attachment 2709666
SaLm Kikeke- MC namba Moja Shughuli Ya Simba
View attachment 2709669
MC PETIT-Atakuwa Mc Namba 2 Shughuli ya Simba
View attachment 2709670
MC B Classic- Atakuwa Mc Namba Tatu Shughuli ya Simba, Sauti Nzitooo
View attachment 2709671
Mgeni Rasmi - Ni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
View attachment 2709674
ALI KIBA- Main Artist Kwenye Shughuli Ya Simba
UPDATES:
Ifikapo Saa 2 Asubuhi Mageti ya uwanja wa Kwa Mpaka yatafunguliwa
Kutakuwa na Burudani Mbalimbali, Mchezo wa Kirafiki kati Ya Simba Queens na Msala Princess, CRDB BANK VS NMB BANK, Utambulisho wa wachezaji wa Msimu wa 2023/2024 na Baadae ni Mchezo Kati ya Simba Vs Power Dynamos
Mchezo unao endelea sasa ni Simba Queens Vs Masala Princess
FT: Simba Queens 4 - 0 Masala Princess
FT : CRDB 1- NMB 0
Utambulisho wa Wachezaji na Bechi la ufundi, Burudani zote na Mh Rais kukagua Vikosi zimesha Kamilika
Kinacho Fuata ni Mtanange Kati Ya Simba na Power Dynamos
Mchezo umeanza
5' Gooooooooooooooooo
Onana anaipatia Simba goli la kwanza kwa shuti kali