FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

All the best
 
Rais kawa mwungwana asiwakatishe tamaa. Alipowakaribisha Yanga walimpa medali ya CAF, na alipewa jezi wakati akiwa mgeni rasmi wa sherehe za Uhuru wa Malawi kwa pamoja na mweyeji wake na wakapeana mikono baada ya kuzipokea. Sasa huko anakokwenda kuwa mgeni rasmi atapewa nini cha muhimu zaidi tu ya kutimiza wajibu wake kama mama wa wote. Sana sana watampa jezi yao kumwombia kuwa aiweka karibu na ile aliyopewa Malawi. Atampa mpambe wake na mambo yakishia hapo; hawezi kuitundika kwenye ukuta wowote wa ikulu kwani hakuna picha yoyote ya kidiplomasia itakayoambatana na jezi huyo.
 
Kila La Heri Siku Kubwa Kwa Taifa La Tanzania
Simba Sports Club
one Team, One Dream

Simba Nguvu Moja
 
Kaka uzi umekuzidi uwezo, no picha nenda kaangalie YouTube mpenja anachofanya utaelewa maana ya live updates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…