Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Baloteli anaingia na ndege ya SAA ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni kolo aka mbumbumbuIkijaza ndo ntakua mmebeba kombe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MbumbumbuMe si mfuatiliaji wa soka la bongo ila lakini hii simba day gumzo kila kona.
Mwaka jana Mazembe waliwafanya nini au ndio umbumbumbu?Nakazia
Mwaka jana tulimgonga mtu 2-0, Kibu alifanya majaribio ya kombora alilokuja kuwaua naloMwaka jana Mazembe waliwafanya nini au ndio umbumbumbu?
Serikali iunde kamati kuchunguza hili ,Simba ndio timu ya nchi😝😅😂Mods Kwanini walifuta Uzi wetu wa Simba wa Live Updates?
Ticket zetu tumemaliza Siku 2 kabla ya Tukio, Kwanini tusifungue uzi wetu wa live updates Masaa 6 Kabla?
Hee mambo yameanza