Unyama Mwingi
Sasa mbona azam hawaoneshi
Hata kamaMbu mbu mbu FC...View attachment 2709834
Simba fungueni studio zenu muangalie mnacho taka.[emoji1]Nafuatilia Simba day kwenye TV, nashangaa azam mpo studio wakati kuna matukio yanayoendelea uwanjani, wapelekeni watu washuhudie wenyewe. Tatizo nini?
Mafurikooo
Je simba wamelipia siku nzima au masaa kadhaa??Wapenzi wengi waburudani Wanailalamikia sanaaa AZAM MEDIA kwa Kuihujumu Simba na Mashabiki wake walio Lipia Vingโamuzi. Kwasababu Hawaoneshi Live
huyรณ mwenyemanywele niyake au yakubandikaUnyama MwingiView attachment 2709950
mbona naona hao wawili tuu?