FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

Sasa utopolo mawe ya nini ??[emoji23]
FB_IMG_16897588052828793.jpg
 
Jez ya mama aliuzwa kwa ela zile Ila leo kapewa kma zawadi yeye mwenywe anashangaa
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Jamani kaeni mbali na vyura watawatemea sumu wana hasira kali
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kwenge burudani wamezingua sana. Ubunifu 0.

Yanga waliwafanyia mchezo mbaya, wasanii wote wakali waliwabeba, kina marioo, chino kid, jux nk wakawaachia mwijaku na yule dogo mtukanaji.
Bila Yanga kuwaachia Kiba leo wangezitapika pesa za watu.
"wangezitapika pesa za watu"

Kilichowakutanisha hapo watu ni mpira sio muziki, ndiomaana wameanza kulipia tickets hata kabla hawajaiona orodha ya wasanii.

Ni ajabu sana kuona kwamba kitu pekee mnachovunia Yanga Day ni shows za muziki badala ya dhima kuu ya tamasha lenyewe, MLIFELI.
 
"wangezitapika pesa za watu"

Kilichowalutanisha hapo watu ni mpira sio muziki, ndiomaana wameanza kulipia tickets hata kabla hawajaiona orodha ya wasanii.

Ni ajabu sana kuona kwamba kitu pekee mnachovunia Yanga Day ni shows za muziki badala ya dhima kuu ya tamasha lenyewe..
Acha kupoteza muda wako mkuu,, huko wwnye akili ni wawili tu
 
"wangezitapika pesa za watu"

Kilichowalutanisha hapo watu ni mpira sio muziki, ndiomaana wameanza kulipia tickets hata kabla hawajaiona orodha ya wasanii.

Ni ajabu sana kuona kwamba kitu pekee mnachovunia Yanga Day ni shows za muziki badala ya dhima kuu ya tamasha lenyewe..
Hao wasikuharibie siku...leo usijibu pumba zao...najua moyoni wanaona nini Simba imefanya
 
Back
Top Bottom