Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kutuangusha wenye nchi wenzake...Nimefurahi sana....
Angetuma mwakilishi sijui tungeficha wapi sura zetu..
Walidhani tunajali lolote kuhusu wao.Tupate matangazo kidogo toka kwa wadhamini wetu [emoji23]View attachment 2710178
Kwahiyo mechi ipo au hamna ?Walidhani tunajali lolote kuhusu wao.
Tajiri hatakiwi kuwa na pigo za kichawa, kwanini achekecheke hovyo?tajiri hana furaha.., shida gan?[emoji28]
Mechi saa 12 au saa 1?
Diamond katubeba lini, alikuwepo tamashani??Kama alivyowabeba Diamond
Dah! Pamoja na mimi kuwa yanga sina hii habari kumbe tuna mechi leoTupate matangazo kidogo toka kwa wadhamini wetu [emoji23]View attachment 2710178
Mnakipiga leo chamazi [emoji16]Dah! Pamoja na mimi kuwa yanga sina hii habari kumbe tuna mechi leo
"wangezitapika pesa za watu"Kwenge burudani wamezingua sana. Ubunifu 0.
Yanga waliwafanyia mchezo mbaya, wasanii wote wakali waliwabeba, kina marioo, chino kid, jux nk wakawaachia mwijaku na yule dogo mtukanaji.
Bila Yanga kuwaachia Kiba leo wangezitapika pesa za watu.
Acha kupoteza muda wako mkuu,, huko wwnye akili ni wawili tu"wangezitapika pesa za watu"
Kilichowalutanisha hapo watu ni mpira sio muziki, ndiomaana wameanza kulipia tickets hata kabla hawajaiona orodha ya wasanii.
Ni ajabu sana kuona kwamba kitu pekee mnachovunia Yanga Day ni shows za muziki badala ya dhima kuu ya tamasha lenyewe..
Hao wasikuharibie siku...leo usijibu pumba zao...najua moyoni wanaona nini Simba imefanya"wangezitapika pesa za watu"
Kilichowalutanisha hapo watu ni mpira sio muziki, ndiomaana wameanza kulipia tickets hata kabla hawajaiona orodha ya wasanii.
Ni ajabu sana kuona kwamba kitu pekee mnachovunia Yanga Day ni shows za muziki badala ya dhima kuu ya tamasha lenyewe..
Subutu!!Wangeweka KIINGILIO 20,000/- kupunguza usumbufu alafu tungewapiku Yanga uwanja ungejaa vile vile na ungetapika