Sandiego
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 1,288
- 2,075
Samia ni MWANANCHI!Samia ni mpenzi wa michezo? Au yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia ni MWANANCHI!Samia ni mpenzi wa michezo? Au yanga
Mimi nimehamia kwenye mechi ya Arsenal na City.Mechi saa ngapi ...hayo mengine madoido tu[emoji2955]
We jamaa bna kwani unadhani Yanga ingetaka kujaza uwanja kwa kiingilio kama chenu ingeshindwa??Hao wasanii mliowakusanya kwenye tamasha lenu waliaibishwa
Value yao ilishushwa baada ya kuona hakuna washabiki mpaka fungulia mbwa.
Pamoja na fungulia mbwa bado hamkuweza kujaza uwanja.
Haya mambo ya kubalance balance yatafanya na sisi tumkumbushe kuhusu bandari
Tamasha lenu limeingiliwa!!
Kama hahakutaka msongamano why waruhusu fungulia mbwa?We jamaa bna kwani unadhani Yanga ingetaka kujaza uwanja kwa kiingilio kama chenu ingeshindwa??
Hawakutaka msongamono.
Nani ashindwe kulipa buku 5.
Sasa si wangeingia saa 10 au saa 8 mchana kama walitaka mechi?"wangezitapika pesa za watu"
Kilichowakutanisha hapo watu ni mpira sio muziki, ndiomaana wameanza kulipia tickets hata kabla hawajaiona orodha ya wasanii.
Ni ajabu sana kuona kwamba kitu pekee mnachovunia Yanga Day ni shows za muziki badala ya dhima kuu ya tamasha lenyewe, MLIFELI.
Wengi wa walioujaza uwanja pale hawana uelewa wa kisiasaYani hapo ikitokea raia wakaanza kupiga kelele "bandari bandarii bandari", matangazo lazima yakatwe[emoji23][emoji23]
Fungulia mbwa iliruhusiwa mwishono kabisa na hiyo ni huruma ya viongozi baada ya kuona watu wengi nje wasio na tickets na nafasi bado zipoKama hahakutaka msongamano why waruhusu fungulia mbwa?
Na hapa nataka niseme serekali na sekta binafsi ......MAMA ANAONGEA VIZURI SANA
Huruma ya viongozi au walifanya hivyo kujisitiri wasiaibike?Fungulia mbwa iliruhusiwa mwishono kabisa na hiyo ni huruma ya viongozi baada ya kuona watu wengi nje wasio na tickets na nafasi bado zipo