FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

Hii ni aibu ya ulimwengu

Tuna safari ndefu sana kama taifa kufanikiwa kwenye kitu chochote kile
 
Hao wasanii mliowakusanya kwenye tamasha lenu waliaibishwa

Value yao ilishushwa baada ya kuona hakuna washabiki mpaka fungulia mbwa.

Pamoja na fungulia mbwa bado hamkuweza kujaza uwanja.
We jamaa bna kwani unadhani Yanga ingetaka kujaza uwanja kwa kiingilio kama chenu ingeshindwa??
Hawakutaka msongamono.

Nani ashindwe kulipa buku 5.
 
Mama tenga fungu kuwezesha michezo. Katika miundombinu na raslimali watu
 
Muda Wa Mechi Umeingiliwa Hivyo umesogezwa Mbele na Sio Saa 12 Kamili tena Itakuwa Saa 12:30
 
"wangezitapika pesa za watu"

Kilichowakutanisha hapo watu ni mpira sio muziki, ndiomaana wameanza kulipia tickets hata kabla hawajaiona orodha ya wasanii.


Ni ajabu sana kuona kwamba kitu pekee mnachovunia Yanga Day ni shows za muziki badala ya dhima kuu ya tamasha lenyewe, MLIFELI.
Sasa si wangeingia saa 10 au saa 8 mchana kama walitaka mechi?

Au hujui maana ya tamasha, ni kila kitu tangu saa 5 ya uongo mliyotangaza. Watu wakaingia tangu asubuhi na matamasha wakaingia mapema kumbe mliwadanganya na show mbovu mbovu
 
Yani hapo ikitokea raia wakaanza kupiga kelele "bandari bandarii bandari", matangazo lazima yakatwe[emoji23][emoji23]
Wengi wa walioujaza uwanja pale hawana uelewa wa kisiasa

Hii ilikuwa ni fursa ya umma kuonesha ni jinsi gani hawaitaki na wamekichoka chama tawala
 
Kama hahakutaka msongamano why waruhusu fungulia mbwa?
Fungulia mbwa iliruhusiwa mwishono kabisa na hiyo ni huruma ya viongozi baada ya kuona watu wengi nje wasio na tickets na nafasi bado zipo
 
Miquisson angepewa mic watu wangemzingatia zaidi
 
ILA MAMA AMEPUNGUA!!

SIJUI ANAWAZA NINI[emoji849][emoji849]
 
Fungulia mbwa iliruhusiwa mwishono kabisa na hiyo ni huruma ya viongozi baada ya kuona watu wengi nje wasio na tickets na nafasi bado zipo
Huruma ya viongozi au walifanya hivyo kujisitiri wasiaibike?
 
Back
Top Bottom