FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

Huruma ya viongozi au walifanya hivyo kujisitiri wasiaibike?
Sasa kuaibika na nini ndgu?? Wewe pia si uliangalia kwenye tv na uliienjoy bila tabu wala tafrani. Ndivyo yanga ilivyotaka.
 
Wengi wa walioujaza uwanja pale hawana uelewa wa kisiasa

Hii ilikuwa ni fursa ya umma kuonesha ni jinsi gani hawaitaki na wamekichoka chama tawala
Wasiokubaliana na swala la bandari wapo wengi sana, ila maswala la ushabiki mengine yanayosha hisia huwa ni ngumu sana kuyapambanua.

Nikupe mfano mmoja kusupport hoja yangu:-

Hapo uwanjani kuna mashabiki wa Mond ila ukienda leo kuwauliza kuhusu show ya KIBA wengi watamsifia sana, ila kawaulize kuhusu ALIKIBA sehemu ambapo Simba Sc haihusiki, uone majibu yao.

Ndiomaana CCM hutumia sana tafrija za kimpira.
 
Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom