Unabeza makundi wakati we mara ya mwisho kushiriki ilikuwa 98BChuku kimataifa mnapo jificha huwa nacheka sana
mtu unaishia makundi, robo bado unajihisi una timu ya maana sana
makundi ni kichaka cha kujificha tu, waarabu huwezi kuta wanafurahia timu yao kuingia makundi maana si kitu cha maana.
umaskini wa mafanikio kwetu unafanya tuone makundi ama robo ni jambo la maana sana
mkuu unakuwa msahaulifu sana juzi umebebwa kadi ya ajabu, bado walio stahili kupigwa kadi hawakupigwaAhmedy Arajiga a.k.a Frolentina a.k.a Ramadhani Kayokwa
A.k.a kibao
Akifika nusu nina hakika utaongezeahuku kimataifa mnapo jificha huwa nacheka sana
mtu unaishia makundi, robo bado unajihisi una timu ya maana sana
makundi ni kichaka cha kujificha tu, waarabu huwezi kuta wanafurahia timu yao kuingia makundi maana si kitu cha maana.
umaskini wa mafanikio kwetu unafanya tuone makundi ama robo ni jambo la maana sana
Uchawi ni kipaji sio uzeeumaskini wa mafanikio kwetu unafanya tuone makundi ama robo ama nusu ni jambo la maana sana
SASA Kwann isiwe kama hivi ilivyo kwa wanaume? Shida nn?Hatabwanaume ilianza hivyo hivyo kabla kuwa hivi unavyoona sikuhiz
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
kutofika makundi mimi haifanyi nione makundi ni mafaniko mkuuUnabeza makundi wakati we mara ya mwisho kushiriki ilikuwa 98BC
Kama makundi ni kichaka why mkairike na petfomance inayoonehwa na kikosi chenu kwenye michuano ya kutafuta makundi (ya failures)
nusu ni nini hata kufika fainal mara 10 na kupigwa zote unabaki bwege tuAkifika nusu nina hakika utaongezea
Uchawi ni kipaji sio uzee
Kadi ya ajabu ipi? ya clinic au?mkuu unakuwa msahaulifu sana juzi umebebwa kadi ya ajabu, bado walio stahili kupigwa kadi hawakupigwa
unasahau mwaka majuzi ulipewa viporo 12 (haijawahi tokea kwenye historia ya ligi yoyote duniani )
leo unasema nini, mwaka jana yanga kadhurumiwa mkashangilia sana
ivi goli kama la azizi ki utamlaumu refa ama lile la fay mkuu
hujui influence ya viporo kuelekea ubingwaKadi ya ajabu ipi? ya clinic au?
Viporo 12 vina influence gani na kubebwa?
Wewe kama ulikuwa unashinda mechi zako zote ulizocheza, viporo vya mpinzani wako vitakuwa na madhara gani kwako?
Halafu leo hii mlivyotoa sare mmeanza kutoa sababu zile zile kuwa hamkupata wasaa wa kupumzika kujiandaa na mechi, ilihali mlipumzika zaidi ya siku 6 kabla ya mechi yenu
Sasa kama mliona hiyo ilikuwa ni suluhu ya nyinyi kuweza kupata ushindi kwenye mechi ya kimataifa, ilikuwaje kipindi kile mkaanza kulalamika kuwa Simba ana viporo wakati mkijua kuwa yuko katika maandalizi ya kumfanya ashinde mechi za kimataifa?
Kama kweli kwa timu yako kuona ikishiriki makundi si mafanikio basi huna vision ya mpirakutofika makundi mimi haifanyi nione makundi ni mafaniko mkuu
nimekupa rejea, waarabu ama wasazui makundi sio ya kufanyia sherehe sema umaskini wa mafanikio unatufanya kushangilia makundi ama robo
Kwani timu gani iliwahi kupewa goal corner hapa duniani?hujui influence ya viporo kuelekea ubingwa
unajua upangaji wa matokeo ukoje
mkuu naomba nilale.
ila tangu ugunduzi wa soka hakuna. timu imewahi pewa viporo 12
cha kuumiza zaidi hata kombe haikuchukua ikaishia robo
Hii comment umeandika huku ukiwa umefura kwa hasira.Utawezaje kuchukua ubingwa kama hujafika Group stage kisha robo na ukaendelea kwa Semi final kisha fainali yenyewe? Ulipaswa uisikitikie Yanga kama ni swala la kufika makundi or robo fainali ni "umaskini wa mafanikio' maana wao watakuwa mafukara hohe hae hawajawahi kufika hata hiyo group stage tangu 1998.huku kimataifa mnapo jificha huwa nacheka sana
mtu unaishia makundi, robo bado unajihisi una timu ya maana sana
makundi ni kichaka cha kujificha tu, waarabu huwezi kuta wanafurahia timu yao kuingia makundi maana si kitu cha maana.
umaskini wa mafanikio kwetu unafanya tuone makundi ama robo ni jambo la maana sana
Unaongelea Ushindi wa Yanga kibongo bongo Kwa msaada wa bahasha Kwa marefa?hivi yanga katika mechi 5 za mwisho na simba ya wanaume kafungwa ngapi, kashinda ngapi na ka draw ngap
5 chache tangu wakutane simba na yanga nani kapakatwa mara nyingi
ukijua rekodi hizo utajua yanga si wakufananishwa na timu yoyote bongo
Uwezo wenu wa kufikiri ndipo hapo unapoishia . Hatuna cha kuwasaidia.nusu ni nini hata kufika fainal mara 10 na kupigwa zote unabaki bwege tu
chukua kikombe ndo ujitape, unajitapa makundi ama robo ndo nini
Kihistoria pamba ni kubwa kuliko azamhivi yanga katika mechi 5 za mwisho na simba ya wanaume kafungwa ngapi, kashinda ngapi na ka draw ngap
5 chache tangu wakutane simba na yanga nani kapakatwa mara nyingi
ukijua rekodi hizo utajua yanga si wakufananishwa na timu yoyote bongo
Ni yanga, tena mi nashangaa watu kuivheka yanga yenu jaman wakati kwenye mechi 5 za CAF mlizocheza msimu huu mmefunga magoli 10 na mmefungwa mawili tu huku sisi simba tunaowacheka tumefunga magoli 8 na kufungwa 1anaye ongoza ligi ni nani
Kila mtu na malengo yake. Kama vile utopolo lengo la kusajiri kina aziza, joyce, jiara, birigimana, nk ni kwaa ajili ya kifunfa ihefu, na kuikamia simba hapa bongo baasi. Ndio mpk leo mnajivunia kombe la 45 la unbeaten [emoji1787][emoji1787][emoji1787]huku kimataifa mnapo jificha huwa nacheka sana
mtu unaishia makundi, robo bado unajihisi una timu ya maana sana
makundi ni kichaka cha kujificha tu, waarabu huwezi kuta wanafurahia timu yao kuingia makundi maana si kitu cha maana.
umaskini wa mafanikio kwetu unafanya tuone makundi ama robo ni jambo la maana sana
Hiyo system yao wanachukua bingwa wa Kanda nane Africa nzima. Hao wote Asfar, Mamelode, Determine na wenzao ni wakongwe Kwenye hayo mashindano hadi mashindano ya dunia. Simba ameingia kwa mara ya kwanza baada ya kufanya vizuri Africa Mashariki. Mchujo ni mkali kwa kuwa Africa ina nchi nyingi (54), kwa hiyo hawataki ujinga.Duh hii ndio system ya mpira wa wanawake?
Mmmh, Sasa kwanni timu ikifika makundi inapewa hela(tena mabilioni), ikifika robo inapewa mpunga, ikifika nusu inapewa mpunga ikifika fainal inapewa mpunga...nusu ni nini hata kufika fainal mara 10 na kupigwa zote unabaki bwege tu
chukua kikombe ndo ujitape, unajitapa makundi ama robo ndo nini