Simba haina shida ya kiungo mshambuliaji.Tunavyosema hakuna wa kumuondoa Chama pale Simba kwaSasa ni kwenye mechi kama izi.
Simba kwasasa hawajapata mbadala wa Chama, wanahangaika kama kuku aliye katwa kichwa.
Kaah unataka kumuua baba wa watu...hahahaha acha ubahili...uto mibahili sana mnunulie hata ka kvant...💯 💯 💯
Pata sayonaaa 5 ntalipaaaa mkuuu
Ana kazi yake maalumu ya kushangilia mabao ya wenzie...na tunamfurahi kwa hilo kwakweli...hahahahHuyu beleke sijui skuizi amepatwa na nini
Kwa ubovu wa timu yenu, tukikutana tena tutawapangia kikosi cha vijana ili muambulie hata sare. Kinyume na hapo, basi kipigo kiko pale pale. Maana kwa sasa hamna timu ya kuifunga Yanga, au Azam.Watagongwa tuu watake wasitake..ngoja tuone kikosi watakachocheza nacho....kikosi bee au buuu
Atakufa na pressure.....Kaah unataka kumuua baba wa watu...hahahaha acha ubahili...uto mibahili sana mnunulie hata ka kvant...
Anafia nini kwenye group anaongoza?Atakufa na pressure.....
Simba Niue ndiohiii
Wapiii wewe mbondei?? Yani hakuna siku natamani kama siku ya mechi ya uto na Simba...Kwa ubovu wa timu yenu, tukikutana tena tutawapangia kikosi cha vijana ili muambulie hata sare. Kinyume na hapo, basi kipigo kiko pale pale. Maana kwa sasa hamna timu ya kuifunga Yanga, au Azam.
Ume miss kulia hadi kamasiWapiii wewe mbondei?? Yani hakuna siku natamani kama siku ya mechi ya uto na Simba...
Zinachezwa lini?Ratiba ya Robo Fainali.
1. KVZ VS Mlandege
2. Yanga vs APR
3. Azam Vs Singida FG
4. Simba Vs Jamhuri
This time around u will suffer the consequences...Ume miss kulia hadi kamasi
Umetumia Biblia gani mkuu? hiyo Zab 122 haisemi Bwana ndiye mchungaji wangu...HAPA NDIPO UNAIKUMBUKA ZAB 122
MSTARI WA 1 MPAKA 5
BWANA NDIE MCH WANGU