FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

Tunavyosema hakuna wa kumuondoa Chama pale Simba kwaSasa ni kwenye mechi kama izi.
Simba kwasasa hawajapata mbadala wa Chama, wanahangaika kama kuku aliye katwa kichwa.
Simba haina shida ya kiungo mshambuliaji.
 
natamani kumsikiaaaaa

Kamwe wa simba
■■■■tulichezaaa vizuri

■■■■kocha■■■■■
Tulicheza vibaya sijawahi onaaaa

Mmh tuchukue ya nani..yaan vita ya Simba inaanzia ukujuuu hawaelewan awako kitukimoja uwanjan mnategemea nn
 
Watagongwa tuu watake wasitake..ngoja tuone kikosi watakachocheza nacho....kikosi bee au buuu
Kwa ubovu wa timu yenu, tukikutana tena tutawapangia kikosi cha vijana ili muambulie hata sare. Kinyume na hapo, basi kipigo kiko pale pale. Maana kwa sasa hamna timu ya kuifunga Yanga, au Azam.
 
Back
Top Bottom