Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kuna tofauti kubwa kati ya kuandika dakika ya 49 na 45+4Apr wanapata Kona dakika ya 49
Ndugu mtangazaji hebu bofya kitufe cha live acha kuzinguaApr wanapata Kona dakika ya 49
Kumbe Simba wamefanya rotation leo?HT SSC 0 - 0 APR
Nimependa hii Rotation ya Wachezaji timu ya Simba, ila Kuna Mijitu hamnazo itakuja kusema( Waondoe JK na Babaake Manara) SSC hawafanyi Rotation ya Wachezaji..!
Ka Joseverest sijui kaliendaga wapi?Leo nimekuwa wakwanza kukoment, nipeni likes za kutosha wadau, kila lakheir mnyama.
Ila mwana unalalaga ukiwaza kuanzisha uzi tu wa mechi, hongera kwa umakini huu.
Tatizo JF huwezi kujua kama mtu amebadili ID au ametangulia mbele za hakiKa Joseverest sijui kaliendaga wapi?