FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

HT SSC 0 - 0 APR

Nimependa hii Rotation ya Wachezaji timu ya Simba, ila Kuna Mijitu hamnazo itakuja kusema( Waondoe JK na Babaake Manara) SSC hawafanyi Rotation ya Wachezaji..!
 
Kumbe Simba wamefanya rotation leo?
Hakika KICHWA KIPUMBAVU NI MZIGO KWA SHINGO
 
Leo nimekuwa wakwanza kukoment, nipeni likes za kutosha wadau, kila lakheir mnyama.

Ila mwana unalalaga ukiwaza kuanzisha uzi tu wa mechi, hongera kwa umakini huu.
Ka Joseverest sijui kaliendaga wapi?
 
Sub kadhaa, Onana, Luis, Baleke ndani.
 
Macho yangu yameona kama mchezaji rasta amepewa jezi ya kramo imefutwa jina. Hata kama ni majaribio ni kuikosea simba heshima kumpa mchezaji mwingine jezi iliyofutwa futwa jina.
 
Nimeona pia
 
Back
Top Bottom