Inakeraaaaaaaaaaaa mkuuJamani mbona Arsenal wamemvumilia Arteta sasa hivi wanasumbua mjini nashauri mkae kwa kutulia
sisi mikia fc na huu Mpira wa gadiola mnene tutashinda ila club bingwa kule tutapuyangaSimba tutashinda tu,Wala msihofu
Huwa natetea timu yangu ila leo nilivyoona kikosi hata mood ya kucheki ball ikapoteaππ
Kama chelsea yako inavyopuyangasisi mikia fc na huu Mpira wa gadiola mnene tutashinda ila club bingwa kule tutapuyanga
mgunda atatupa makombe mengi sanaMgunda wala siyo kocha ni mhamasishaji tu. Ngoja uone atakavyopuyanga kwenye substitution kipindi cha pili
Ulitaka Nani aanze?Huwa natetea timu yangu ila leo nilivyoona kikosi hata mood ya kucheki ball ikapotea
Watu wanafanya ushikaji sana
Ila mgunda nadhani kapokwa kazi ya uhead coach na matola kiaina itakula kwake
Tuache na timu yetuAwa jamaa mpaka sasa timu inayoburuza mkia imewakalia kooni, wako kwa mkapa lakini ni kama vile wako mkwakwani Tanga, Watapata goli lakini kwa mbinde na wataendelea kukaa nafasi ya 3 π€£π€£π€£π€£
Guvu moya πUlitaka Nani aanze?
chelsea atabeba uefa na mamkombe mengine mengi.Kama chelsea yako inavyopuyanga
UEFA ya ushoga labdachelsea atabeba uefa na mamkombe mengine mengi.