FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

Huwa natetea timu yangu ila leo nilivyoona kikosi hata mood ya kucheki ball ikapotea
Watu wanafanya ushikaji sana
Ila mgunda nadhani kapokwa kazi ya uhead coach na matola kiaina itakula kwake
 
Awa jamaa mpaka sasa timu inayoburuza mkia imewakalia kooni, wako kwa mkapa lakini ni kama vile wako mkwakwani Tanga, Watapata goli lakini kwa mbinde na wataendelea kukaa nafasi ya 3 🤣🤣🤣🤣
 
Ulitaka Nani aanze?
 
Awa jamaa mpaka sasa timu inayoburuza mkia imewakalia kooni, wako kwa mkapa lakini ni kama vile wako mkwakwani Tanga, Watapata goli lakini kwa mbinde na wataendelea kukaa nafasi ya 3 🤣🤣🤣🤣
Tuache na timu yetu

Guvu moya 😀
 
49' Kyombooo, anakosa nafasi nzuri ya kufunga ilikuwa Shambulizi kali kuelekea Ihefu FC
 
Back
Top Bottom