FT: Simba SC 1-0 Ihefu FC | Ligi Kuu Bara | Stade de Benjamin Mkapa 12/11/2022

Asa ww unalalama akati hujafungwa na mpira bdo unaendelea kudunda pia timu inacheza vizur tu
 
Mgunda anatakiwa ashinde hii mechi ili arudishe imani ya wana Simba kwake. Lasivyo yale masifa kede kede walizompa wana Simba yatabadilika

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Bila kuuza mauchafu Sakho,kanoute,mzamiru kila game kwenu ni final
 
Kiukweli Kama ndio Simba hii Bora ushabikie ihefu yaani Mara Mia yaani uwanjani Kuna wachezaji sio timu. Inakeraaaaaaaaaaaa Sana .
Wahenga wakasema Mgema akisifiwa tembo utia maji
Wakaenda mbaliii maskini akipata matako hulia mbwata
Usisahau mgagaaa na upwa hawali waali mkavu
Ndipo wakasema bandu bandu..........
 
59' Kyombo ametoka na ameingia Kibu upande wa Simba SC

Simba SC 0-0 Ihefu FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…