OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Acha kuweka mambo yako hadharaniUEFA ya ushoga labda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuweka mambo yako hadharaniUEFA ya ushoga labda
Kwa wachezaji hao mtamulaumu tuMgunda anatakiwa ashinde hii mechi ili arudishe imani ya wana Simba kwake. Lasivyo yale masifa kede kede walizompa wana Simba yatabadilika
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Wahenga wakasema Mgema akisifiwa tembo utia majiKiukweli Kama ndio Simba hii Bora ushabikie ihefu yaani Mara Mia yaani uwanjani Kuna wachezaji sio timu. Inakeraaaaaaaaaaaa Sana .
Labda Kibu D ataokoa jahaziAmin amin nawaambia, ikitokea yaani ikitokea draw nyingine hakika Tanga atarudi
Watafunga tu simba akuna teamIhefu nao hawataki kufunga. watajutia NAFASI hii ya kukutana na timu mdebwedo.