Hilo ni kwa upande wako na wala si vibaya ni vizuri na hata hapo juu nimeuliza kwa member kuwa marekebisho yafanyiwe sehemu zipi? Ili tupate maoni yake.Tusisingizie kuwa tatizo ni kocha wa viungo
Simba haina kocha atayetusaidia.
Hawa waliopo wanabahatisha
Kwani na kupaki kwao hawajafungwa? Ule uwezo wa goli lililofungwa unaona la kawaida?Wachezaji wa viwongo vya chini, kacheze na man u afu upaki basi,utafungwa tu
Zaidi yako?Wapi nilipoandika hivyo? Afu mbona ka una vielement vya mchele mchele
Ukicheza na asiejuwa kucheza mpira Huwa unatabia ya kuvuta wanaoweza kufanana na wasioweza.Hivi hii timu Makundi imeingia vipi? kwenye mpira Kuna mambo ya ajabu sana!!!
Tatizo la simba sio kocha ni ubovu wa wachezaji wetuTusisingizie kuwa tatizo ni kocha wa viungo
Simba haina kocha atayetusaidia.
Hawa waliopo wanabahatisha
Makocha nao ni tatizoTatizo la simba sio kocha ni ubovu wa wachezaji wetu
Makocha inawezekana kabisa wana matatizo lakini most of the time tunawaonea bure, mkuu mimi ni simba kabisa lakini angalia jinsi kikosi chetu kilivyo dhaifu, naweza kusema ukitoa kile kikosi cha kwanza ambacho kinaanza kila siku kule benchi hakuna mchezaji ambaye utasema akiingia ataleta matokeo chanya kama timu ikiwaimefungwa au kuzidiwa, remember mechi ya juzi na Singida..., Kikosi ni finyu sana, kocha anakosa options, chama na okra walikosekana juzi singida, unaona kabisa hakuna mbadala wao.Makocha nao ni tatizo
Shida ya Simba inaanzia kwa ManagementMakocha inawezekana kabisa wana matatizo lakini most of the time tunawaonea bure, mkuu mimi ni simba kabisa lakini angalia jinsi kikosi chetu kilivyo dhaifu, naweza kusema ukitoa kile kikosi cha kwanza ambacho kinaanza kila siku kule benchi hakuna mchezaji ambaye utasema akiingia ataleta matokeo chanya kama timu ikiwaimefungwa au kuzidiwa, remember mechi ya juzi na Singida..., Kikosi ni finyu sana, kocha anakosa options, chama na okra walikosekana juzi singida, unaona kabisa hakuna mbadala wao.
Bocco, Banda, Nyoni, Mkude, Kakolanya, Akpan, Okwa, Mwinuke, Gadiel, Kibu, KyomboShida ya Simba inaanzia kwa Management
Hao ndo wakulaumiwa kwanza
Barbra, Try Again, Magungu
Hao watu 3 ndo wakubeba lawama.
Kupitia wao ndo tuna kikosi dhaifu, kikosi dhaifu ila kinachoitia timu hasara.
Simba walianzisha mambo ya kutoa 20mil kwa kila mechi, jambo ambalo sio sawa maana wale wachezaji kazi yao ni kucheza na kushinda mechi na si vinginevyo.
Simba imekuwa ikisajili kupitia mtu kuifunga au kupiga chenga nyingi.
Simba yaonekana haina scouts wazuri au mawakala wanaiibia. Mf Banda haifai Simba, ila sababu alikuwa mkopo Ulaya, mawakala wakaamua wapiga simba, nina uhakika Banda analipwa pesa nyingi sana kuliko aoneshacho uwanjani.
Kumuongezea Bocco mkataba wa miaka 2 ilikiwa kosa kubwa sana.
Kuelekea January
Bocco, Banda, Nyoni, Mkude, Kakolanya, Akpan, Okwa, Mwinuke, Gadiel, Kibu, Kyombo
Hawa waondolewe wachezaji wa maana waletwe, ikiwezekana kuvunja benki na kuvamia wachezaji wa timu za Azam.
Wamekuwa wakiwaondoa Makocha wakuu ila wanamuacha mtu mbaya Matola.
Ili Simba iendelee inabidi Management au Benchi la Ufundi na wachezaji waondolewe
Mikataba mipya ya wachezaji iwekwe kipengele cha kutofuzu makundi mishahara inapungua vinginevyo mchezaji avunje mkataba mwenyewe.
Mchezaji asipoperfom vizuri mshahara wake utapunguzwa
Banda na Bocco wanakula hela za bure SimbaBocco, Banda, Nyoni, Mkude, Kakolanya, Akpan, Okwa, Mwinuke, Gadiel, Kibu, Kyombo
Mkuu hapa nimekuelewa sana hawa wachezaji sio level kabisa za kucheza simba
Nilishangaa sana Boko kubaki simba msimu huuBanda na Bocco wanakula hela za bure Simba
Alipewa kandarasi ya miaka 2 ila msimu huu ndo mwisho wakeNilishangaa sana Boko kubaki simba msimu huu
Inasikitisha sana, viongozi utadhani hawaangalii mpira yaniAlipewa kandarasi ya miaka 2 ila msimu huu ndo mwisho wake
Tatizo pale kuna upigaji mkubwa sanaInasikitisha sana, viongozi utadhani hawaangalii mpira yani
Kwa hiyo ndo umejipost kabisa kututangazia biashara yako au sio,,, afu hiyo jezi ni fulana kama zilivyo fulani nyingine yoyote anaweza kuvaaa, simba hatuna wa watu wa hivyo huyo ni wewe umeamua kututangazia biashara yako,,, ila kwetu umefeli watu wa simba sie tunamuogopa mungu, labda uwapelekee wala mihogo wenzioZaidi yako?View attachment 2415138
Pole kwa maumivu unayo pitia jikaze utazoea tuKwa hiyo ndo umejipost kabisa kututangazia biashara yako au sio,,, afu hiyo jezi ni fulana kama zilivyo fulani nyingine yoyote anaweza kuvaaa, simba hatuna wa watu wa hivyo huyo ni wewe umeamua kututangazia biashara yako,,, ila kwetu umefeli watu wa simba sie tunamuogopa mungu, labda uwapelekee wala mihogo wenzio
Tutaona wacha muda uamueMnapoint zetu tatu mzunguko ujao msipo sajiri January
Hivi hii timu Makundi imeingia vipi? kwenye mpira Kuna mambo ya ajabu sana!!!